Upambaji

Mfano wa vijumba vya ndege vilivyofunikiwa vitambaa vya maua mbalimbali mazuri
Vyombo tofauti tofauti vimechanganywa

Maua ya rangi mbalimbali (Millinery Flowers).

All 3 Images courtesy of countryliving

Gazeti la Countryliving linaonyesha jinsi ya kupamba kwa kutumia karatasi,maua,vitambaa na vyombo.Inapendeza kwakuwa unapata rangi nyingi zinazopendeza na pia upambaji huu unadumu muda mrefu na hauhitaji care ya kubwa. Kwa hiyo usiwe tena na wasi ukiwa na vyombo visivyofanana ,vyombo tofauti vinapendeza kama picha hiyo juu.

No comments:

Post a Comment

1