Upambaji wa kisasaImages courtesy of photojojo
Upambaji wa kisasa niupendao mimi ni upambaji wa 1. vitu vizuri uvipendavyo na vinavyokupa furaha na afya njema hasa vyenye kumbukumbu fulani katika maisha yako 2. upambaji wa kutumia vitu vinavyopatikana katika mazingira yetu ya kila siku,3. Upambaji ambao sio wa gharama 4.Upambaji unaotunza mazingira kwa ku-reuse na ku-recycle na 5. Upambaji ambao hata unaweza ukakuongezea kipato.Photojojo ametoa maelekezo kuhusu kupamba picha kutumia kopo la kioo,nimeupenda maana unapata ku-display picha za familia,ndugu na jamaa na una-reuse na hivyo kutunza mazingira. Angalia maelekezo hapa au designspongeonline.

1 comment:

  1. inapendeza kwa hiyo mtu unaamua tu upambeje safi sana labda nitaweka picha yangu kwenye kikombe changu cha chai ili mtu mwingine asichukue ha ha ha

    ReplyDelete

1