Tunawatakia Happy Pesach (Passover).


Picha copyright:sophiaclub
Mimi na familia yangu tunawatakia wote Pesach njema . Ukipenda kujifunza zaidi kuhusu Pesach maelezo yake haya hapa.


4 comments:

 1. Heri kwa sikukuu ya Pasaka nanyi.

  ReplyDelete
 2. Na familia nzima ya wana-Changamoto wanawatakia Pesach njema kwenu nyote. Amani na Upendo vidumu maishani mwenu na baraka katika maisha yenu.
  Pamoja Daima
  Mwakiihyukayo ekiro kikuru. Lollllll

  ReplyDelete
 3. Dada Sophie,

  Kwa kweli unafanya kazi nzuri. Ninajifunza mengi sana kuhusu mambo ya upambaji kupitia blogu yako. Hongera sana kwa specialization nzuri.

  ReplyDelete
 4. Asante sana Subi,Mzee wa Changamoto kumbe kihaya kinapanda nashukuru mwakiyukayo nainywe.Bwaya Shukrani kusikia hivyo blogging friends kama nyie ndio mnafanya kazi hii izidi kuvutia,nawashukuruni,Umoja ni nguvu,karibuni tena

  ReplyDelete

1