


Kumradhi wasomaji wangu pc yangu ilikuwa imeharibika, sasa iko bomba.Potterybarn wanavitu hivi vizuri sana vya kisasa vilivyozingatia uasili na ukizingatia kesho tarehe 22/4 ni Earth Day basi tujuike kwa kujikumbusha upambaji asilia, njia na umuhimu wa kutunza mazingira kutoka planetgreen .Enjoy!
No comments:
Post a Comment