Sanaa ya Mjapan Mitsuru Koga

Huu ndio mfano wa ubunifu ambao kila mara tunakumbushwa tujijengee. Mjapan Mitsuru Koga anatengeneza maumbo/mapambo mbalimbali kama haya kwa kutumia mawe madogo madogo ya baharini. Yanapendeza sana tembelea website yake.Tuendeleze ubunifu na tuwakumbushe vijana umuhimu wa kuwa wabunifu na sio kuiga, ni njia nzuri ya kujiletea maendeleo.Weekend njema!

3 comments:

 1. That's fantastic.
  What a good piece of imagination and construction. That's artistic indeed.

  ReplyDelete
 2. Dada! Kama kuna watu ambao wakiwezeshwa kutumia rasilimali zao wanaweza kuwa nyota wa dunia basi ni sisi. Lakini sijajua ni upi mpango wa maisha unaotukwaza katika hili. Najua serikali ina mchango wake lakini si pekee ya kulaumu. Najua wananchi ni wazembe lakini wanahitaji kufunguliwa njia pia. Najua wawekezaji ni waroho, lakini wnahitaji mwangalizi wao.
  Kwa hakika tumebarikiwa meeengi saaana. Lakini hatuyatumii. Ama kweli KWENYE MITI MINGI, HAKUNA WAJENZI.
  Ubunifu wa mJapan huyu na uwe funzo kwetu sote.
  Baraka kwako pia na mwisho mwema wa wiki

  ReplyDelete
 3. Hata mie sanaa hii nimeipenda na kweli kwenye miti hakuna wajenzi ila tutafika tu mradi tumejipa hili jukumu la kublog naamini tutaleta mwamko kwa kiasi fulani tofauti na siku zilizopita. Thanks na karibuni tena

  ReplyDelete

1