Njia sahihi za kumrekebisha mtoto akikosea

Image courtesy of cadland
Nimeona hii article kutoka thetotaltransformation inayozungumzia malezi ya watoto nikaipenda. Inazungumzia njia nzuri ya kumfanya mtoto ajirebishe kwa kumpa (sitaki kuziita adhabu) consequences(kiswahili chake sahihi?) zinazomfundisha kitu fulani kuhusiana na kurekebisha kosa lake na sio kumuadhibu tu bila kujifunza afanye vipi tena tofauti akiwa katika mazingira yaliyopelekea kufanya kosa hili. Isome na maoni yako,nyongeza yanakaribishwa katika suala hili.

1 comment:

  1. Kupiga/kuadhibu watoto sio kuwafundisha. kwa mwangalio wangu naona mtoto ukimpiga anakuwa sugu yaani anazidi kuwa na kiburi. Njia nzuri ni kujaribu kukaa na kuongea naye na kumwelewesha kuwa hapa ni kosa na hautakiwi kufanya hivi. Ukifanya hivi mara kwa mara utaona matokeo yake kuliko kumpiga. hayo ni mawazo yangu tu.

    ReplyDelete

1