Faida ya massage kwa mtoto mchanga/mtoto mdogo

Image courtesy of ehowUkiwa mama unajifunza mambo mengi kuhusu watoto kila kukicha,Kitu kimoja nilichojifunza ni jinsi ambavyo massage ina faida kwa watoto.baadhi ya faida ni kumsaidia mtoto ku relax viungo vyake na kulala usingizi mzuri. Pia husaidia mtoto mchanga kama analia sana kutulia kidogo . Video hii hapa kutoka youtube itakuonyesha steps na ukitaka kwa kujisomea zaidi faida nyingine haya hapa makala kutoka gazeti la Parents .Kama una tips zaidi za malezi ya watoto usisite kutuelimisha,tutashukuru.

2 comments:

  1. Asante sana Da Sophie. Hii inawaandaa wazazi watarajiwa kujua faida na pia njia za kumhudumia mtoto lijapo suala la massage.
    Uelimishaji mwingine kwa faida yetu sote.
    Baraka kwako

    ReplyDelete
  2. Asante sana.kweli kabisa ukijiandaa wala hakuna kigumu.Asante.

    ReplyDelete

1