Designer apambae kwa vitu vya asili

Images via apartmenttherapy

Designer wa Afrika ya Kusini Laurie Owen anapamba vizuri sana majumba na mahoteli mbalimbali kwa kutumia vitu vya asili. Namna hii anapendezesha majumba na mahoteli,anatunza mazingira na kujipatia kipato.Picha zake za upambaji zaidi hapa.Kama tunavyosema siku zote tunaweza kupamba vizuri kwa kutumia vitu tulivyonavyo katika mazingira yetu,kitu cha muhimu ni kuwa creative.

2 comments:

  1. Yaani nimefurahia sana picha za upambaji, asante sana. Unafanya vizuri kutuelimisha!

    ReplyDelete
  2. Asante na karibu sana Mama Shujaa.

    ReplyDelete

1