Collection yangu sasa inapatikana dukani


Picha zote 6 copyright : Sophiasclub
Habari njema!Collection yangu ya kwanza ya jewelry sasa inapatikana Encore Boutique 169 7th Ave Brooklyn, NY .Kwa wale walio karibu tafadhali msisite kupitia. Bahati mbaya hawauzi online.Pia wana vitu mbalimbali vizuri sana vya akina dada/mama.Jewelry zote zimetengenezwa kwa Silver na Semi-precious stones. Ninadesign na kuuza kwa consignment hivyo kama utapenda tafadhali wasiliana nami kwa email (juu kulia) kuweka order na jinsi ya kununua na kuzipata.Kila moja ni handmade na unapata aina yako pekee yako maana nadesign kila moja tofauti.Tafadhali usisahau kumwambia na rafiki yako.Pia unaweza ukani-email kununua au kuweka order.Enjoy!

5 comments:

 1. kazi nzuri Da Sophie. Heri kwa Pasaka

  ReplyDelete
 2. Asante sana Yasinta. Heri ya Pasaka na wewe na familia.

  ReplyDelete
 3. Dada Sophie nimeiona design yako na dada mmoja kavaa nimeipenda sana je nitazipata baada ya muda gani?

  ReplyDelete
 4. Nafurahi kusikia hivyo na nashukuru sana,Tafadhali nitumie email yako nikupe maelezo kamili.Asante sana

  ReplyDelete
 5. Angel......this is great.... you are talented and creative..... i need to place an order

  ReplyDelete

1