Sanaa ya ukataji karatasi


Image courtesy of lindgrensmith
Nikiona sanaa yenye ufundi wa hali ya juu ya ukataji wa karatasi kama huu, nakumbuka jinsi binadamu tunavyotakiwa kuwa makini na pia kuwa na uvumilivu (patience) katika kazi na mambo mbalimbali.Lakini mswahili aliyajua haya mapema akatuambia "haraka haraka haina baraka sijui kwanini huwa tunasahau. Sanaa hii wanaifanya sana Wachina na Wajapan. Hujachelewa kuianza kama hobby na pia hujachelewa kuwaelekeza watoto na vijana Naamini itakuza umakini wao katika mambo mbalimbali,itawafurahisha na kuwaongezea ujuzi na inaweza hata kuwa chanzo cha mapato .Picha hiyo hapo juu imekatwa na Beth White pata nyingine nyingi nzuri kutoka lindgrensmith

No comments:

Post a Comment

1