Mfalme wa Pop arudi tena uwanjani

Mfalme wa Pop

Image courtesy of telegraph

Haya mwenye karudi mpeni njia...!Mtu huyu anawapenzi mpaka basi! Hapa ndivyo watu walivyofurika kununua ticket ili kuona onyesho la muziki la Michael Jackson mjini London kuanzia mwezi wa saba mwaka huu ,inasemeka tiketi ziliisha muda mfupi tu.Pata habari kamili kutoka telegraph na michaeljackson. Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1