

Image courtesy of lasterblaster1

Hizi picha zinaonyesha jinsi watu wanavyopendezesha nyuso za nyumba zao kwa bustani za maua au maua,sanamu na michoro kutani. Kuna faida nyingi ukipendezesha mazingira ya nje ya nyumba moja wapo ni kuwa unaipandisha pia nyumba yako thamani.
samahani fungua kurasa ya kuchangia mawazo kuhusu jumuiya ya wanablogu tanzania.
ReplyDeletehttp://blogutanzania.blogspot.com/
www.ringojr.wordpress.com