Krosia tofauti na tulivyozoea...

Image courtesy of the crocheteer


Katika sanaa ya krosia unaweza ukatengeneza vitu mbalimbali mf. mapambo,nguo,mifuko,mitandio n.k.Baadhi ya vitu hivyo ni kama hiyo picha hapo juu kutoka the crocheteer inavyoonyesha. Kwahiyo kama unaijua sanaa hii na huwa unashona vitambaa vya mezani tu, jaribu kutengeneza vitu tofauti mbalimbali ,inawezekana hata ukatengeneza senti kidogo wakati huohuo ukiburudika na kufaidika kiafya.Sanaa hii ni moja kati ya sanaa zinaaminika kupunguza stress na kukumfanya mtu a-relax.Ukijaribu nitumie picha!Enjoy.

No comments:

Post a Comment

1