Chai na afya zetu.


Tea sets via wrapable

Unaikumbuka Slogan hii "Wakati wote ni wakati wa Chai"basi itekeleze!Je unajua kuwa chai ina faida kiafya. Angalia maelezo hapa .


5 comments:

 1. Dada unafanya kazi nzuri sana. Mie hununua Mwananchi Jumapili, pamoja na mambo mengine, kusoma masuala ya mapambo.

  Nimepita hapa kuwaka saini kwenye kitabu cha wageni.

  ReplyDelete
 2. Asante sana Kaka Bwaya kwa comment na encouragement.Endelea kututembelea upatapo nafasi.Asante pia kwa taarifa sikujua kama Mwananchi Jumapili huwa ina masuala ya mapambo.Nitaitafuta online.

  ReplyDelete
 3. Ni vema saana nionapo watu wenye moyo wa kuielimisha jamii. Lakini si elimu tu ambayo inahitajika kama yale yafunzwayo hayapo katika upatikanaji. Mfano ni kumkaririsha mtu wa Kishanje huko Bugabo namna ya kutengeneza kemikali za kusafisha nyumba wakati unajua kuwa hataweza kuziona hizo kemikali hata kwenye Tv. Lakini hapa nafurahishwa na jambo kubwa kuwa karibu kila upambaji na mambo ya afya yazungumziwayo hapa yapo katika mazingira ambayo tunaweza kuyatumia. Nimesoma mengi kuanzia mapambo ya magunia na mpaka faida za vitu kama chai. Hivi ni vitu ambavyo sio tu tumejaaliwa kuwa navyo kwa wingi, bali wengi hatujui manufaa yake vitumiwapo kwa kiasi na namna husika.
  Kuja nini unataka na vipi kupata kisha vipi kufanya kupata unachotaka is "absolutely awesome thing"
  Blessings

  ReplyDelete
 4. Eee hapo umeniacha hio maana chai ndo kinywaji changu kikubwa tena bila sukari. kazi nzuri sana. pia nimepita kukusalia.

  ReplyDelete
 5. Asanteni kwa kucomments,tuendelee kunywa chai Yasinta na mie naipenda vile vile. Mzee wa Changamoto nashukuru ,ndio najaribu kuangalia mapambo na vitu vipatikavyo katika mazingira ya mtanzania hata kama yupo vijiji ili vimsaidie kuboresha maisha yake popote alipo na kwa uwezo alionao.

  ReplyDelete

1