Wamechongwa wakapendeza...

Image courtesy of Irene2005

Nimeona picha hii ya vinyago kutoka Irene2005's photostream nikaipenda.Sanaa nzuri sana kutoka Zanzibar.Kapiga pia picha za milango ya zamani zinakufanya ufikirie jinsi ambavyo watu huwa tunazungukwa na vitu vizuri ila sijui kwa nini huwa hatuvioni.Iangalie hapa inapendeza.


No comments:

Post a Comment

1