Upambaji wa kutoka Morocco

Image courtesy of soulliving
Images courtesy of jubella
Katika upambaji changanya rangi mbalimbali, designs za miraba , mistari au maumbo mbalimbali pamoja na texture mbalimbali.Watu wengi wana woga wa kuchanganya rangi mbali mbali hasa za kuwaka wakidhani hazitapendeza.mojawapo ya mfano mzuri wa kuigwa ni wa WaMorroco ambao wanaaminika katika nyanja hii duniani kwa uzuri wa mapambo,vyombo,vitambaa na fanicha zao.angalia rangi zilivyochanganywa na zilivyopendeza,bado unakisingizio ?!hebu nikisikie!Enjoy.

No comments:

Post a Comment

1