Karibu mgeni mwenyeji...


Images courtesy of dominomag
Nimeona picha hizi kwenye gazeti la dominomag
nikakumbuka birika za zamani za silver sijui zilipotelea wapi? Swali jingine nikajiuliza hivi kwanini huwa tunaweka vyombo vizuri kwa ajili ya wageni tu?vinakaa kabatini miezi na miezi wala sisi wenyenavyo na familia zetu hatuvi enjoy Weekend hii tumia vyombo vizuri kwa ajili yako na familia yako harafu tuambie umeona tofauti gani.Harafu ukinunua tena vyombo nunua rangi mbali mbali ukichanganya na ulivyonavyo zinapendeza zaidi,macho pia yanapenda vitu vizuri au sio?!Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1