Simu ya Mkononi

Uchambuzi amepost hii picha ambayo imenivutia sana nikaona niipost. Hii inaonyesha jinsi watu wanavyotaka vitu vya quality nzuri. Naungana na Uchambuzi kwa swali lake kuhusu picha hii na pia naongezea kwamba Mpiga picha hii atafute soko la picha hii kwa wauza simu maana kwa maoni yangu ni tangazo zuri la biashara.Soma swali la uchambuzi hapa

No comments:

Post a Comment

1