Sanaa ya uchoraji kwenye mawe

Image courtesy of julialikes.canalblog.com

Mojawapo ya madhumuni ya blog hii ni kukupa changamoto kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo sanaa ili baada ya kusoma utafakari na labda ulifanyie kazi lile ulilosoma,likuelimishe au umuelimishe mwenzio.Kuna sanaa za aina nyingi moja wapo ni hii ya Mfaransa Julia Likes blog yake julialikes anafanya sanaa nzuri sana ya kuchora kwenye mawe. Sasa badala ya kuwaacha watoto wetu wakiponda ndege kwa mawe tuwafundishe sanaa kama hizi kwani zitawasaidia na pia tutatunza maliasili zetu. [via 2dayblog].Angalia blog yake upate uzuri wa sanaa yake.

No comments:

Post a Comment

1