Sanaa ya krosia

Image courtesy of beijoterias at flickr.
Image courtesy of meialua66.
Image courtesy of themeemafiles

Dada huyu Mportuguese Joana Vasconcelos anafanya sanaa ya krosia (crochet) (sijui krosia ndicho kiswahili chake sahihi kama sio tafadhali nifahamishe). Kama unajua sanaa hii basi kazi ya huyu dada itakuwa inspiration kwako ili uendeleze ujuzi wako au ukimuona mtu anafanya sanaa umwambie hajakosea njia.Tembelea website yake hapa uone jinsi alivyo mbunifu na mfano mzuri wa kuigwa.

No comments:

Post a Comment

1