Malengo ya mwaka mpya ??

Image courtesy of myartfulife at flickr

Baadhi ya watu wamekuwa wakisema Law of attraction inafanya kazi ukiifuata.Hii ni imani isemayo ukifikiria na ukaweka picha mawazoni ,ukaamini na ukakipa umuhimu kila unachotaka unaanza kuvutia vitu hivyo na mwisho unaanza kuvipata . Njia itumikayo ni kutengeneza ubao wa mwelekeo/malengo (vision board) kama huo hapo juu kutoka myartfulLife.Jinsi ya kutengeneza maelekezo yako hapa. Kwanini tuandikie mate na wino ungalipo?Jipe changamoto utengeneze vision board ya malengo yako ya mwaka huu upate majibu mwenyewe. Hii pia ni activity nzuri ya kufanya na watoto wako namna hii utaweza kujua ndoto zao.Enjoy!

1 comment:

  1. Sophie una mada nzuri nimependa kuziweka katika kibara changu na kuzichambua

    ReplyDelete

1