Hii ndiyo nyumba mshindi wa 2009
Images courtesy of country living

Nyumba hii ndiyo imetolewa na gazeti la countryliving kama mshindi wa 2009. Kama kawaida usemi ni ule ule upambaji si lazima uwe wa gharama. Kwa maoni yangu nyumba hii imeshinda kwa sababu imepambwa kwa kwa ku-reuse na ku-recycle vitu mbalimbali mfano ubao umetumika kama frame ya picha na umening'inizwa kwa kigongeo cha mlango, ukuta mmoja umefanywa ubao wa kuandikia maelekezo kwa familia n.k. Pia imeelezwa baadhi ya vitu hivi mwenyenyumba kajitengenezea mwenyewe. Kwa ujumla ka-save noti, katunza mazingira na kajijengea yeye na familia yake mazingira ya kupendeza na kama ana watoto hili ni somo tosha kwa maisha yao ya baadaye.Kwa hiyo ukitaka kutupa kifaa fulani fikiria unaweza ukakituaaje tena kabla hujakitupa namna hii tunatunza mazingira na kupamba vile vile.Picha zaidi hapa1 comment:

1