Upambaji si lazima uwe wa gharama

Image courtesy realsimple.com


Image courtesy dominomag.com


Naungana na wasomaji wa gazeti maarufu la Interior design domino magazine
kwamba upambaji si lazima uwe wa gharama.Kwa yule ambaye alidhani kuwa kupamba lazima ununue vitu vya gharama pokea habari njema! Hakuna tena kisingizio kuwa huwezi kuwa na angalau frame moja yenye picha ya art.Muhimu ni kufanya finishing nzuri, kupamba picha zinazo mean something kwako na kupunguza gharama iwezekanavyo.Kwa mfano picha zote ya kwanza na ya pili kutoka chini ni za karatasi za maua na ya juu kutoka real simple.com wametumia kitambaa. Hapa wao wametumia scrapbook papers (sijui kiswahili chake nini anayejua tafadhali !).Kwetu sijui kama scrapbook papers zipo ila tunaweza kutumia karatasi zile nzuri za kufungia zawadi au kitambaa cha maua. Tips zaidi angalia dominomag.com.1 comment:

  1. Uwiano wa gharama na matokeo yae mara nyingi huwa mdogo. Kuna uwiano mzuri kati ya gharama na thamani na mara nyingi hakuna maana ya kuwa na thamani kama hakuna matokeo mazuri. Yaani kuwekeza mamilioni kwenye kitu kisichomnufaisha mtu ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Ndio maana natanguliza thamani kabla ya ghrama, lakini bado huu ni mtazamo wangu kulingana na namna nionavyo tatizo.
    Blessings

    ReplyDelete

1