Heri ya mwaka mpya


Sherehe za kuukaribisha mwaka 2009, Time Square,hapa NewYork.
Image courtesy of timesquireny.org

Heri ya mwaka mpya kwenu wote.Tunaomba uwe mwaka wa afya njema,furaha,heri na baraka kwa kila mmoja wetu.Mungu awe nasi sote.

1 comment:

  1. Heri ya mwaka mpya nawe dada yangu. Nakutakia kila lililojema kwa mwaka huu wa 2009.

    ReplyDelete

1