Batik za Wachina,Artistic Chinese Creation wanatengeneza Batik nzuri kama hizi hapa juu. Hii imenikumbusha batik za Tanzania kama kuna mtu anajua mtengenezaji wa batik nzuri nitashukuru ukinitumia jina la website.Asante.

1 comment:

  1. Hello Da Sophie. Naamini waendelea vema. Kwa hakika hilo swali ama ombi ni CHANGAMOTO (Challenge) kubwa maana wasanii (artists) wengi wa nyumbani hawawekezi katika kujitangaza hata kwa kutumia mitandao ya bure kama hizi Blogs. Naamini wangeweza kuwa na wateja wengi kama wangeamua kuwa a little creative na kujitangaza kwenye ulimwengu wa tovuti. Lakini kama kuna aliye na web zao nami nitafurahi kuzipata ili niweze kuwapa support "jamvini" mwangu.
    Blessings

    ReplyDelete

1