Upambaji wa living rooms tofauti na tulivyozoeadominomag.com wametoa picha hizi za upambaji ambazo zimenipa changamoto nikaona niziweke hapa.Yaani maisha ya leo mtu akiwa creative akatumia kipaji chake bila kucopy bali kujitahidi kufanya sanaa yake tofauti atafika mbali. mfano nimeona hiyo meza yaani ni mzizi ukawekewa ubao juu na rangi tayari mtu anafanya biashara. Kazi kwenu wana sanaa jipeni challenge.Picha nyingi pazia zimetofautiana rangi ila rangi zinaelekeana.Clever ideas!

No comments:

Post a Comment

1