Kutana na Mheshimiwa Rais Barack Obama


Photo courtesy of nydaily news.com
Hayawi hayawi yamekuwa!Ushindi wa kihistoria kwa Marekani na dunia nzima tunasherekea. Usemi kuwa kila kitu kizuri kinawezekana kukifanikisha ukiwa na nia,mtizamo,jitihada,imani,sala na ukashirikisha wenye mtizamo huohuo umejidhihirisha. Ni fundisho kwetu na tuwafundishe watoto wetu.What a great moment for the world!Pata maelezo ya uchaguzi kutoka hapa nydaily news.com

No comments:

Post a Comment

1