Ipate habari ya Mtanzania Hasheem Thabeet katika gazeti la Newyork Daily News


Ipate habari ya mtoto wa nyumbani kama ilivyoelezwa leo hapa na gazeti la Newyork Daily news. Keep it up,we are all proud of you!

1 comment:

  1. Nimemsoma huyu kijana mashuhuri kwenye tovuti mbili, nilitaka kubandika habari jana lakini nikataka kwanza nisome na kulinganisha zote. Anafanya vizuri kwa kweli, Mwenyezi Mungu amwepushe na mabaya.

    ReplyDelete

1