Utaalam wa kudesign keki
Asante sana Subi kwa picha hizi nzuri za Keki .Huu kweli ni ubunifu wa aina yake .Nampongeza mtengenezaji.Keep sharing!Pata habari zaidi toka kwa Subi katika blog yake nukta77

1 comment:

  1. Kuna njia yoyote ya kuweza kupata kitabu au website ya kujifunza kupamba keki?manake napenda kweli kujua kupamba na kudesign
    Farida

    ReplyDelete

1