
Niliona article hii kutoka
marthastewart.com ikieleza jinsi ya kufanya finishing na kujitengenezea mikebe/boxes kama hizi kwa kubandika karatasi (decoupage) nikaona ni sanaa zuri. Ni njia rahisi ya kujipatia mikebe mizuri yenye picha uzipendazo ya kuhifadhia vitu vidogo vidogo. Haya be creative na tafadhali tutumie picha.Siku njema
No comments:
Post a Comment