Amini usiamini uzuri wa Africa-Kenya wakumbukwa leo katika taarifa ya habari

Leo nimeona habari inayoonyesha habari nzuri kutoka Africa, nimefurahi maana mara nyingi ukisikia habari ya Africa tena kwenye taarifa ya habari huwa ni vita na habari za majanga,mpaka watu wengine hawajui kama huwa kuna maisha mazuri pia huko. Habari ya hiyo leo ilionyesha positive side ya Africa, ni habari kutoka Kenya kama ilivyoelezwa kutoka worldfocus.org ipate hapa

No comments:

Post a Comment

1