Vyakula vizuri 11 ambavyo hatuli


Niliona hii article kutoka well.blogs.nytimes.com inayohusu vyakula ambavyo hatuli na vina manufaa sana mwilini. Kwa mfano Mdalani inaelezwa unasaidia katika kucontrol sukari kwenye damu na cholesterol,nyingine ni binzari, maboga n.k. Habari kamili ipate hapa

No comments:

Post a Comment

1