Kupamba ukuta kwa kutumia kitambaa

Image courtesy of thisisloveforever.com

Upambaji huu kutoka thisisloveforever.com
nimeupenda sana kwani hata kama unaishi nyumba ya kupanga unaweza ukapamba kuta na ukatoa ukitaka kuhama ,maelekesho yake yako hapa ni mafupi na rahisi na pia unaweza kukata maua au wanyama mbalimbali kutoka kwenye kitambaa.Jaribu harafu twambie maenedeleo.

No comments:

Post a Comment

1