Upambaji ufanyao chumba kidogo kuonekana kikubwaImages courtesy of interiordecor.about.com

Upambaji ufanyao sehemu ndogo kuonekana kubwa ndio unatumika na watu wengi siku hizi. Nimeona maelekezo yake toka interiordec.about.com.Baadhi ya tips walizotoa ni kufananisha rangi ,mf. rangi ya sofa na kuta na kuweka kioo. Jaribu harafu tupe feedback.Good luck!

No comments:

Post a Comment

1