Sanaa au Mapambo unayoweza tengeneza mwenyewe
Nimeona article kutoka bhg.com nikaipenda nikaona niipost. Picha ya tatu shells zimewekwa kwenye frame,picha ya pili ndege wamepigwa picha na kuwekwa kwenye frame na picha ya kwanza sahani zimewekwa kwenye frame.Vitu vyote hivi vinapatikana kazi kwako ! Tunaomba kama utafanya hiyo tutumie picha.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1