Honey-Buttermilk Cornbread- mkate/cake ya unga wa mahindi


Nimeona haya mapishi ya ku-bake mkate/cake ya asali na maziwa ya mgando ukitumia unga wa mahindi kutoka southernfood.about.com . Tofauti na tulivyozoea ku-bake cake tukitumia unga wa ngano kumbe hata unga wa mahindi unatoka vizuri sana tu. Haya maelekezo yenyewe haya hapa tengeneza harafu tueleze matokea.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1