familia ( Family tree)


Ni vizuri kuweka kumbukumbu ya ukoo wako ili watoto wajue ndugu zao. Nimeona hizi picha mbili ambazo unaweza ukazitengeneza kwa urahisi na maelekezo utayaona kutoka bhg.com .
Nimeona ni wazo zuri kuwa na picha kama hii nyumbani kwako,jaribu kutengeneza na tupe feedback!

No comments:

Post a Comment

1