brooch ya kifungo


Kazi za mikono ni nzuri ,nimeona hii kutoka honeysucklelane katengeneza brooch kwa kutumia kifungo ,brooch imependeza hii ndio ubunifu ,maelezo yake yako hapa jaribu uone ubunifu wako unaishia wapi na tutumie picha pls!

No comments:

Post a Comment

1