Wafaransa wanavyopamba nyumba zao
Photos courtesy of bhg.com


Nimeona article kuhusu jinsi Wafaransa wanavyopamba nikaona niipost. Nimeipenda kwa sababu nimeona wanamawazo mazuri mfano picha ya kwanza na ya pili wanaonyesha jinsi ya kupamba sahani za zamani. Picha ya tatu pazia wametumia vile vitambaa vya draft na limependeza. Picha ya nne cushion coverimefanana na rangi ya ukutani na rpia rangi ya sofa. Maelezo zaidi utayapata kutoka bhg.com. Haya zitoe hizo sahani zako uzipambe,zinapendeza sana.

No comments:

Post a Comment

1