Sanaa ya aina yake
Mapambo ya aina yake kutoka mageshidrawfedi yameniacha kinywa wazi kwa uzuri wake na utaalamu uliotumika. Tikiti maji limechongwa mpaka unasahau kama ni tikitimaji. Haya kabla hujalibebena jaribu utaalamu wako. Kazi nzuri sana!

No comments:

Post a Comment

1