kupamba kwa kutumia urembo/vipini au heleniNimeona jinsi ya kupamba hivi kutoka bhg.com . Hapo juu picha ya kwanza wamegundisha heleni mbalimbali, kwa mfano kama heleni moja ilipotea ikabakia moja basi zimekusanywa zikagundishwa kwenye kitambaa na kuziframe. maelezo yote na ideas zaidi bhg.com

No comments:

Post a Comment

1