Jinsi ya ku-bake chocolate cake

Image courtesy of novanewsnow .com


Nimeona maelekezo kwa video ya jinsi ya ku-bake chocolate cake kutoka youtube nikaona nipost. Maelekezo ya mahitaji yako kwa lugha fulani ila yanaeleweka maana unafuata steps. Nimeona pia maelekezo kutoka novanewsnow.com hapa . Wao wameeleza step by step .Atakaye jaribu tunaomba utupe feedback au zaidi atukaribishe kabisa!

No comments:

Post a Comment

1