Huduma ya kwanza:Jifunze kufanya CPR ( cardiopulmonary resuscitation)

Leo nimefikiria baadhi ya mambo ambayo ni muhimu kuyajua ila huwa hatuyapi umuhimu,moja wapo ni huduma ya kwanza. Nimeona website:learncpr.org . Basi jifunze jinsi ya kumfanyia mtu CPR (sijui kiswahili chake ni nini mwenye kujua naomba atatuelimisha) kwa watu wazima bonyeza hapa (video) au hapa (maelezo),watoto hapa (video) au hapa (maelezo) na watoto wachanga hapa (video) au hapa(maelezo)

No comments:

Post a Comment

1