Yves Saint Laurent,afarikiPhotos Courtesy of NYtimes.com
Mfalme wa mitindo Yves Saint Laurent alifariki jumapili huko Ufaransa, akiwa na umri wa miaka 71 linaeleza gazeti la The NewYork Times.Mr. Yves Saint Laurent ambaye alizaliwa huko Algeria anakumbukwa kwa jinsi alivyoikuza fani ya mitindo duniani. Kwa habari kamili bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment

1