Watoto wanapozama nje ya maji (nchikavu)!


Image courtesy of updmedia.com

Niliona hii habari ya kusikitisha nikaona niipost ili wazazi tuzidi kuwa makini kuawaangalia watoto wakienda kuogelea. Dry drowning ni pale ambapo watoto huzama baada ya kuogelea hii ina maana kwamba huwa wamekunywa maji na yameingia kwenye mapafu na baadaye kuzuia oxygen wakishatoka kuogelea.Kuna mtoto amepoteza maisha kwa tatizo hili. Pata maelezo kamili na dalili ili uzijue kwa usalama wa watoto hapa

No comments:

Post a Comment

1