Utajuaje kama mtoto ana kipaji

Photo courtesy of forbes.com

Nilisoma article hii katika forbes.com inahusu jinsi ya kujua kama mtoto ana kipaji. It is interesting kwa maana tunasikia habari nyingi kwa watu (labda hata wewe unao kadhaa unaowafahamu). Utasikia mtu anasema yule jamaa alikuwa anajua kuchora au yule dada huwa anaimba vizuri! kwa mawazo yangu nafikiri watu kama hao yawezekana wazazi au walezi wao hawakutambua kama walikuwa na vipaji na hivyo kuacha kuviendeleza.Tusipoteze nafasi za watoto wetu kwa kutojua signs ,pata maelezo yenyewe hapa

No comments:

Post a Comment

1