usitumie simu wala internet ,utaweza?Photos courtesy of forbes.com


Teknolojia zimetuharibu maana watu tumeacha kabisa kuandika kama zamani sijui haya tutasema ni maendeleo au ndio tunarudi nyuma?! Hawa watu mashuhuri na wengine wengi wanaendeleza maisha ya kila siku vizuri tu bila teknolojia kama ilivyoelezwa kutoka forbes.com , pata zaidi kwa kubonyeza hapa . Jaribu weekend hii uone jinsi utakavyo-relax. Weekend njema!

No comments:

Post a Comment

1