Usalama barabarani-Speed bump feki na cardboard kids

Speed bumps feki,picha na time.com
Cardboad kid,photo courtesy of treehugger.com


Huu ndio nauita ugunduzi wenye manufaa!Katika harakati ya kuweka usalama wa watoto wadogo na usalama barabarani kwa ujumla US wanajaribu kuweka bumps feki ili madereva wapunguze mwendo. Vile vile mtu mmoja alianza kuchonga sanamu la mtoto kama ilivyoonyeshwa hapo juu kwenye picha kwa usalama wa watoto.Ipate habari hii kutoka treehugger hapa na habari kuhusu speed bumps feki kutoka time.com ipate hapa. Huu ni mfano mzuri wa kuigwa especially sehemu zenye shule maana madereva wetu mistari ya zebra nafikiri wengi wao walishasahau maana yake.

No comments:

Post a Comment

1