Unakusanya nini?


Photo courtesy of eastvalleytribune.com


Watu ukusanya vitu mbali mbali taratibu kama hobby,wengine hukusanya stamps,coins,noti za zamani etc . Mtu unaweza ukafanya hivi kama mchezo na baadaye kukuta unavitu vya thamani kama inavyoelezwa hapa katika eastvalleytribune.com huyu mama aliyekuwa akikusanya boxes za kupamba. Nafikiri ni vizuri especially kuwa encourage watoto kukusanya kitu fulani maana ni njia mojawapo ya kuwaelimisha na pia kukuza hobby na manufaa mengine mengi tu.

No comments:

Post a Comment

1