Sen. Obama ajitangaza kuwa mgombea Uraisi against Sen. Clinton

Photo courtesy of politico.com
Photo courtesy of nationalpost.com

Sen. Hillary Clinton;Photo courtesy of NYdailynews.com

Republican presidential candidate Sen. John McCain
Photo courtesy of usnews.com
Baada ya mchuano mkali Sen. Obama hatimaye afikisha idadi ya delegates zilizotakiwa kumuwezesha kusimama kama mgombea wa kiti cha Uraisi kupitia tiketi ya chama cha Democratic. Mgombea kiti cha Republican ni Sen. John McCain kutoka Arizona.Zipate habari kamili kupitia wnbc.com na nationalpost.com na politico.com

No comments:

Post a Comment

1